Habari and Vyombo vya Habari: Janga la 4720

Matoleo kwa Vyombo vya Habari & Karatasi za Ukweli

32

FEMA mara nyingi huwatuma manusura wa majanga kwa Usimamizi wa Biashara Ndogo ya Marekani (SBA) ili kutuma maombi ya mikopo ya majanga yenye riba nafuu. Mikopo ya majanga ni sehemu muhimu ya msaada wa serikali, na inaweza kusaidia wamiliki wa nyumba, wapangaji, biashara za ukubwa wowote na baadhi ya mashirika yasiyo ya kibiashara kurejelea hali ya awali.
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |
Kituo cha Msaada wa Majanga kitafunguliwa springfield Agosti 4 kusaidia wakaazi wa Vermont walioathiriwa na mafuriko kuanza kurudia hali ya kawaida. DRC ya pamoja, kituo cha muda kilichoanzishwa kwa ushirikiano kati ya Springfield, jimbo la Vermont na FEMA, itasaidia waathiriwa kutuma maombi ya msaada wa FEMA, kupakia hati na kujibu maswali ana kwa ana.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Kituo cha Msaada wa Majanga (DRC) kitafunguliwa saa mbili asubuhi (8 a.m) Agosti 3 katika kaunti ya Orleans kusaidia wakaazi wa Vermont walioathiriwa na mafuriko kurejelea hali kawaida. DRC ya pamoja, kituo cha muda kilichoanzishwa kwa ushirikiano kati ya Barton, jimbo la Vermont na FEMA, itasaidia waathirika kutuma maombi ya msaada wa FEMA, kupakia hati na kujibu maswali ana kwa ana.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Wamiliki wa nyumba na wapangaji wa Vermont katika kaunti za Caledonia, Chittenden, Lamoille, Orange, Orleans, Rutland, Washington, Windham na Windsor ambao waliathiriwa na dhoruba kali, mafuriko, maporomoko ya ardhi na maporomoko ya udongo yaliyotokea kuanzia Julai 7, 2023, na kuendelea wanaweza kustahili ufadhili wa FEMA kwa ajili ya hasara ya mali ya kibinafsi na gharama zingine zinazostahili.
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |
Kujiandikisha ili kupata msaada wa majanga kutoka kwa FEMA hakutaathiri ustahilifu wako wa udhamini mwingine wa serikali.
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |

PDFs, Michoro na Vyombo tofauti vya Habari

Tazama Zana za Vyombo Tofauti vya Habari kwa maudhui ya mitandao ya kijamii na video ili kusaidia kuwasiliana kuhusu msaada wa jumla wa majanga.

Hakuna faili ambazo zimetambulishwa na janga hili.